Natembea Marehemu by Muungano Christian Choir

Bibles.com Outreach Bibles

source

You can skip to the end and leave a response. Pinging is currently not allowed.

33 Responses to “Natembea Marehemu by Muungano Christian Choir”

 1. Hakika kweli natembea ni marehemu mungu tusaidie tuufikie mwisho mwema mungu awabariki

 2. Magrety Shoo says:

  Wimbo unaoishi mioyoni mwetu, mmetukuka sana wana wa Mungu

 3. iyi wimbo wanitowa machozi nikiwakumbuka marehemu wote walionitanguliya;ndungu wa jamaa langu na marafiki nawote waliyo tutanguliya wakiwawa kama nyama!mungu uwapokeye

 4. Sarah Makenz says:

  Kuwepo leo naishi uko nami mim simwema Baba bali nilinde na mwovu

 5. R.i.p Kwa Wale waliopoteza Maisha Yao kwenye ajali iliyotokea kericho kuelekea kisumu

 6. Qween Joel says:

  mhhh naogopa mungu nisaidie sijakamilika

 7. Jesca Julius says:

  remind my late auncle r.i p my blood auncle nitakukumbuka daima

 8. love nes says:

  Inatakiwa kujiweka tayari mda wote hapa si kwetu tu wapitaji

 9. Huu wimbo nauelekeza kwa familia na jamaa za wenzetu walioaga katika ajali ya MV NYERERE Huko Tanzania.hakika natembea mimi ni marehemu.only God had a reason why all that happened.

 10. R.i.p kwa marehemu wote walipoteza maisha kwenye kivuko cha mv nyerere😭😭😭😭😭😭

 11. Isack Samwel says:

  Our lives are uncertain the important thing is to have Jesus Christ only.

 12. Nabarikiwa sana na wimbo huu

 13. This song reminds me when muungano choir visited Bonyunyu n Nyamaiya area Nyamira county Kenya in 1991

 14. Fred Anunda says:

  Each day I listen to this song,I remember my departed brethrens, the ones we used to sing together in church choir, schoolmates, and other beloved friends who have gone before me,ah!kifo ni kila mahali,wakati wowote,God help me to be ready in doing godly things before my day of leaving the earth.

 15. Fred Anunda says:

  Kila siku kifo ki pamoja nazi, lakini kwa yote tukiwa ndani ya Kristo Yesu, kifo ni mapito tu kukielekea petu mbinguni, lazima kuwa tayari wakati wote,asante waimbaji kwa wimbo mtamu sana.nimependa huo wimbo na nyingi zenu tangu mwaka wa 1995.-Mimi ni Fred frm Nairobi Kenya, be blsd

 16. Adam Leonard says:

  Kwakweli wimbo huu umenifunza jammbo

 17. Just encouraged by this joint choir of the elderly talented generals, how i wished i had contacts with their team lead. I would invite this team to Uganda – God bless these generals

 18. Kweli nduniai tuwapitaji

 19. great song.reminds me of my younger innocent days

 20. hakika wimbo hu umenibaliki

 21. Reality Amoh says:

  True message! Am glad to hear it. Be blessed!

 22. Wimbo mzuri Sana… Enzi za kale..

 23. Daah hadi machozi yananilengalenga

 24. indeed we need to be prepared brethren

 25. EVALIST SUWI says:

  Means the song is his,conglatulation

 26. duniani sio kwetu,,,,sisi sote tu wasafiri,,,,,ya safari ya mbinguni

 27. So powerful sermon.God bless

 28. itakuwa ni ole kwa binadamu marehemu kiroho na kimwili. Heri wafao ktk Bwana maana wataishi milele pamoja na Kristo Yesu.

 29. Jina la Yesu liinuliwe!!!

Leave a Reply

Powered by AWS