Ooh Sifa Album Nkinga Christian Choir

Bibles.com Outreach Bibles

source

You can skip to the end and leave a response. Pinging is currently not allowed.

21 Responses to “Ooh Sifa Album Nkinga Christian Choir”

 1. Kila nikisikiliza hizi nyimbo. Natokwa na machozi, Mungu awabariki ninyi nyote, Amina

 2. daniel nella says:

  Nyimbo za zamani hakuna konakona ,ni mistari ya kwenye Biblia tu….halafu ni kuimba kwa unyenyekevu mwanzo mwisho….ndo maana nyimbo zao zinaishi vizazi na vizazi….

 3. Waimbaji wakipindi hicho haikua mchezo

 4. Mbingu na nchi zitapita, na tujiimarishe ukombozi umekaribia

 5. Festor Amon says:

  Ni wkt ambao injili ilihubiriwa bila unafki. Inanikumbusha pia wahubiri wachache walio mtumikia vyema mungu mwenyezi. Mfano ni marehemu Moses kulola na wengine pia

 6. Festor Amon says:

  Tuna mshukuru mungu kwa kutupa uhai na kuendelea kupata nyimbo hz zenye ujumbe unao ishi mioyoni mwetu. Ni Baraka tosha

 7. Festor Amon says:

  Mungu awabariki sana popote walipo hawa wana kwaya. Ujumbe bado unaishi na uta endelea kuishi milele ameen

 8. Mungu awabariki Nkinga Choir members. Mzidi kwa njia ya Mungu.

 9. barikiwa ile pisi bend ya nkinga ipo

 10. Hakika kwaya hii walikuwa wanaongea na mungu live,, hakuna tena kwaya itakayoweza imba ivi tena, ,Saut zao n original amen dyingi sana

 11. Amani Sausi says:

  NYIMBO ZOTE ZINA UJUMBE WA KIBIBLIA HAMNA VIJEMBE HATA..

 12. Daniel Okoth says:

  Hakika Mola ni mwema kutuwezesha kuwa na kumbukumbu hii… kwa neema na pendo

 13. ninyi na ulyangulu ni kipenda roho ,kwa injili nyimbo na utunzi ni moto wa kuotea mbali. mapenzi ya mungu yatimizwe.

 14. INANIKUMBUSHA MBALI SANA MWAKA 1994 NIKIWA TTC MONDULI, NA RAFIKI YANGU GEORGE MDUMA, MBARIKIWE SANA WAIMBAJI

 15. Kiukweli katika cassette zote za kwaya ya Nkinga hii pekee ndiyo ilinikonga nafsi yangu sana hata sijui kama nilikuwa naitoa hata kwenye radio.

 16. Mungu awabariki sana wana wa Mungu,hizi nyimbo zinanikumbusha miaka ya 90' kiukweli nakumbuka mengi sana ninaposikiliza nyimbo hizi.Kwaya ya Nkinga mubarikiwe

 17. Hii album imeimbwa injili tupu ..ni utunzi wa hali ya juu sn..

 18. Flora Meza says:

  Wapendwa hizi nyimbo ni nzuri sana na kuna mtu kaweka no yake akisema anazo kweli anazo niliwasiliana nae ktk kanda 4 zote nilizonunua ni 1 tu sifa ni za bwana mokozi ndio inaimba zingine hazisikiki wito wangu tuwe makini si wote wamwitao bwana bwana watauona ufalme wa mungu .nimewasiliana nae aje achukue hata kama asiponirudishia hela hajibu inaumiza wapendwa uongo si kitu chema

 19. Hawa ndugu walikuwa ni very experience singers. ..wapigaji wa vyombo ndio wako vizuri sn wanaujua muziki. .wanagusa vitu vinavyotakiwa ..mziki wa vinanda wa leo umepoa kabisa yaani ni empty ni kama chakupa kisicho na vitamini mi huwezi kuta nasikiliza huu mziki wa keyboard. .

 20. Best songs..good work mpendwa nilikuwa naitafuta sana hii album nilikuwa nikiiweka home nilikuwa field nyumba ya kupanga basi nyumba nzima walikiwa wanaimba..nilikuwa natumia redio ndogo wanaita 'work man' nkinga kwaya na ulyamkulu ni kwaya za kukumbukwa sn.

Leave a Reply

Powered by AWS